Usaili zimamoto

makini12

New Member
Dec 23, 2015
1
0
Habari wakuu.. Kuna mtu atakuwa anafununu au taarifa zozote kuhusu lini jeshi la zimamoto watatoa majina kwa ajili ya usaili ya watu wa uraiani.? Nawasilisha..
 
Bado hakuna fununu! Hata mimi niko miongoni mwa wanaosubilia hayo majina yatakayopitishwa kwa ajili ya usaili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom