Usaili Zimamoto kwa tarehe 28&29/03/2014

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
368
Reaction score
145
Taarifa niliyonayo ni kwamba kati ya wasailiwa 206 walioitwa usaili kwa tarehe hizo mbili watachukuliwa watu 4 tu,taarifa ndo hiyo
 
Mbona we mwongo sana??
Anyway yawezekana walifanya interview watu 10,wakichukuliwa wa5 hakuna ubaya. Otherwise huo ni uongo uliokubuhu, na utubu kabisa.
 
nashukuru sana kwa kucriticise,kumbuka hao hata kwenye ratiba hawakuwemo waliongezwa tu,lakin anyway ni taarifa tu kaka
 
Subirini,ndio kwanza mkaguz msaidiz 2memaliza leo.
 
Taarifa niliyonayo ni kwamba kati ya wasailiwa 206 walioitwa usaili kwa tarehe hizo mbili watachukuliwa watu 4 tu,taarifa ndo hiyo

Wacha urongo,kwa nyeti nilizozipata kutoka kwa kibosile mmoja wa Fire anasema vigogo kibao waliwajia juu kutokana na kutoyaona majina ya watu wao kwenye list ya kwanza ndo wakafikia uamuzi wa kuwashotlist watu wengine 200,hivyo majina unayoyaona ya awamu ya pili karibu yote ni ya ndugu wa vigogo so usijidanganye kwa hilo,unaweza kuta hawa ndo watachukuliwa kwa wingi kwasababu ya marefa.

NB: Mimi walinishotlist awamu ya kwanza but sitaki kujifariji kwa hilo
 
hakuna ndugu wa vigogo pake kijana,mie nimewaona wote ni wasaka tonge
 
Wacha urongo,kwa nyeti nilizozipata kutoka kwa kibosile mmoja wa Fire anasema vigogo kibao waliwajia juu kutokana na kutoyaona majina ya watu wao kwenye list ya kwanza ndo wakafikia uamuzi wa kuwashotlist watu wengine 200,hivyo majina unayoyaona ya awamu ya pili karibu yote ni ya ndugu wa vigogo so usijidanganye kwa hilo,unaweza kuta hawa ndo watachukuliwa kwa wingi kwasababu ya marefa.

NB: Mimi walinishotlist awamu ya kwanza but sitaki kujifariji kwa hilo

Mim naona hakuna ukweli,wizara imeamua kuongeza kwasababu ya kiofisi zaidi!
 
Yote kheri. Watakaopata watapata na watakao kosa watakosa. Haiwezekani wote walioitwa interview waajiriwe coz wengine hata uwezo wa kujibu maswali nadhani hawakuwa nao pamoja na kuwa graduate.
 
Taarifa niliyonayo ni kwamba kati ya wasailiwa 206 walioitwa usaili kwa tarehe hizo mbili watachukuliwa watu 4 tu,taarifa ndo hiyo

tuliopo sitimbi tunapitwa na mengi,Hivi wadau list ya majina ya kwanza na ya pili kwa ajili ya interview yalikua kwenye gazeti gani na yalitoka tarehe ngapi?....nami nijilizishe kama nilikuwemo!!!!!!:wave:
 
Nimepata kuwa kufikia tarehe kumi yatakua out kulingana na afisa mafunzo na meja mkoa mwanza.
 
Back
Top Bottom