kalamu ya chuma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 214 Reaction score 63 Jun 13, 2014 #1 GUYS nasikia wizara ya afrika mashariki imeita watu,plz nijuzeni maana mimi computer yangu haifungui kwenye ajira.go.tz so naomba mtu atupie humu jamvini anisaidie kuona hapo. samahani wakuu.
GUYS nasikia wizara ya afrika mashariki imeita watu,plz nijuzeni maana mimi computer yangu haifungui kwenye ajira.go.tz so naomba mtu atupie humu jamvini anisaidie kuona hapo. samahani wakuu.
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,402 Reaction score 1,618 Jun 13, 2014 #2 computer yako inafungua rahatupu lakini web za ajira haifungui..... ha ha ha ha