Black jew Senior Member Sep 4, 2017 121 222 Sep 28, 2017 #1 Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa???
Chillah JF-Expert Member Oct 12, 2016 8,293 8,855 Sep 28, 2017 #2 Black jew said: Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa??? Click to expand... matangazo ya ajira mna yakalia ila taarifa za wenzenu mna taka pia ziwe zenu... tupunguze ubinafsi...
Black jew said: Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa??? Click to expand... matangazo ya ajira mna yakalia ila taarifa za wenzenu mna taka pia ziwe zenu... tupunguze ubinafsi...
R Risk takker Member Feb 28, 2015 18 4 Sep 28, 2017 #3 Black jew said: Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa??? Click to expand... Mkuu mbarali rujewa usahili tarehe 30/09
Black jew said: Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa??? Click to expand... Mkuu mbarali rujewa usahili tarehe 30/09
Chillah JF-Expert Member Oct 12, 2016 8,293 8,855 Sep 28, 2017 #4 Risk takker said: Mkuu mbarali rujewa usahili tarehe 30/09 Click to expand... ni mbalala au mbalali?
R Risk takker Member Feb 28, 2015 18 4 Sep 28, 2017 #5 Chillah said: ni mbalala au mbalali? Click to expand... Kama mtoa post anamaanisha Mbarali wameita tayari bt kama Mbalala sijui kwa kweli ...Maana kwenye post kaandika mbalala zen chini kaandika mbarali
Chillah said: ni mbalala au mbalali? Click to expand... Kama mtoa post anamaanisha Mbarali wameita tayari bt kama Mbalala sijui kwa kweli ...Maana kwenye post kaandika mbalala zen chini kaandika mbarali
Mr.Junior JF-Expert Member Sep 8, 2013 11,773 9,967 Sep 28, 2017 #6 Black jew said: Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa??? Click to expand... Attachments RUJEWA.pdf 615.2 KB · Views: 169
Black jew said: Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa??? Click to expand...
F fanuel nary Senior Member Mar 12, 2014 128 59 Sep 28, 2017 #8 Duuuh hiyo wilaya ipo nchi gani? Maana Geography ya Tz ipo kichwan wilaya zote! Au anaamaanisha Mbarali Mbeya? MBALALA hiyo ni kijiji ipo karibu na KOROMIJE njia ya kwenda Chato kwenye Yale Mataa ya kupitisha Punda na mkokoteni
Duuuh hiyo wilaya ipo nchi gani? Maana Geography ya Tz ipo kichwan wilaya zote! Au anaamaanisha Mbarali Mbeya? MBALALA hiyo ni kijiji ipo karibu na KOROMIJE njia ya kwenda Chato kwenye Yale Mataa ya kupitisha Punda na mkokoteni