matangazo ya ajira mna yakalia ila taarifa za wenzenu mna taka pia ziwe zenu... tupunguze ubinafsi...Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa???
Mkuu mbarali rujewa usahili tarehe 30/09Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa???
ni mbalala au mbalali?Mkuu mbarali rujewa usahili tarehe 30/09
Kama mtoa post anamaanisha Mbarali wameita tayari bt kama Mbalala sijui kwa kweli ...Maana kwenye post kaandika mbalala zen chini kaandika mbaralini mbalala au mbalali?
Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa???