Usaili wilaya ya Mbalala katika kazi ya mtendaji kijiji. Kuna mwenye taarifa ya siku ya usahili?

Black jew

Senior Member
Sep 4, 2017
121
222
Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa???
 
Duuuh hiyo wilaya ipo nchi gani? Maana Geography ya Tz ipo kichwan wilaya zote! Au anaamaanisha Mbarali Mbeya? MBALALA hiyo ni kijiji ipo karibu na KOROMIJE njia ya kwenda Chato kwenye Yale Mataa ya kupitisha Punda na mkokoteni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom