nzuri tu bro.
mimi ni mmoja ya hao watu tulioomba hiyo ishu, na kunamwenzangu mmoja ambaye tuliomba naye baada ya kuona tangazo kwenye website yao ya polisi la majina yaliiyotoka ya form 4, 6 na JKT yeye aliamua kuwapigia simu moja kwa moja na jibu walilompa walimwambia kwamba wala msijali mtaitwa kwenye interview mda si mrefu kwa sababu mafunzo wanasema lazima twende pamoja. na hayo tu bro labda na wewe ujaribu kuwapigia simu ili upate uwakika zaidi, ila usisite kutujuza kwa lolote utaloambiwa.