Mkuu TAA uliingia operation au security?Daaah! Ilikuwa ndo Mara yangu ya kwanza kuchaguliwa kufanya written interview kupitia hyo system yao, nilichaguliwa ya TPA nilijiamini kweli sikutaka kusoma kitu kwa vile npo second yr chuo nkasema maswali ya diploma ayatonisumbua but nilichokikuta ktk pepa nilihisi nimeonewa nilijbu swali 1 nalo nlipata 18 mengne nilienda op,niliumia sana kuona mtu WA kwanza kascore 84.
Nikachaguliwa tena TAA nkatenga muda kupitia materials nashukuru Mungu Jana nimeingia nmejibu walau maswali 3 ambayo ninaufahamu nayo kidogo naamini ata kama sitochaguliwa marks zangu zitatofautiana na pepa LA kwanza na ntakuwa nimrjifunza kitu ila zile pepa sio ngumu hasa ukiwa unauzoefu nazo yaani umefanya zaid ya Mara 3 adi 4 kikubwa kutokata tamaaa mana uwoga nao unachangia wengi kufeli.
BAba ukiachana na elinu dunia yangu ya juu ila nina diploma ya civil aviation.Maswali ya Operational officer nimeyasahau ninachokumbika ni Airport Bird Hazard controls na Main airport reservations..!Vp ungechomoka mkuu as a Fresh from College..?
Haaahaa...nimejibu kifundi mchundo zaidi hapa nasikikilizia majibu hiyo j4 jioniHapo bila shaka ungejibu Terminal za kuhusu umeme mkuu na sio uwanja wa ndege maana Jamaa huwa wana mtindo wa kukurudisha class kwa Proffession kama hizi na hawabase kwenye Taasisi unayoenda fanya kazi hapo ilibidi tu ujiongeze ujibu kama Fundi Mchundo na sio ujibu ki TAA zaidi eti terminal za uwanja wa ndege utakuwa your Totaly wrongly.
Jamaa unakamba aisee hawajasisitiza hivyoNi kweli mkuu.
Pale wanataka terminals za umeme na ndio maana wakasisitiza (used in electrical)
Ni kisanga yani mtihani mmoja unauliza maswali ya programming ya language 5 tofauti.Na kiuhalisia unakutaga mtu unajua language moja tu ya object oriented.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukiambiwa gem gumu maanake ndio hiyo kila lakheri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sahihi kabisa mkuu mm ni mtu mtu wa makabati,ni kweli wengi wetu nikiwemo mm nko vzuri ktk calculation but upande wa maelezo nipo very poor mfano lile swali la kwanza daah limenpotezea sana muda afu sina uwakika nalo ila lingekuwa calculation basi ata dk lisingechukua kulimaliza.Pole sana bila shaka ni Mtu wa Makabati naamini kosa moja watu wa Accounting wengi wanaukuwaga wazuri kwenye Calculation na Entries ila ukija kwenye Soko la ajira mambo yanabadirika Unatakiwa pia uwe competent na kuweza kukielezea kitu ambacho unakiandaa hii ni sawa ukimwambia mtu aandae Trial balance fasta atakuandalia ila muulize ebu kwa uchache nielezee Trial balance ni nini au zinatumika njia ngapi kuiandaa ni swali dogo sana ila mtu anaweza shindwa kukujibu kikubwa anza sasa kujijenga vema boss soko linataka mtu awe ana uelewa na si kukaririshwa kama kule chuo lecturer akiingia anaandika tu Topics Statement of change in equity akiandika format mnaanza solve maswali sasa bila kujishughurisha mwenyewe uelewe hiko kitu ni nini ndiyo basi umekwisha mfano Mtu ukimwambia Clerical errors unapoandaa books of accounts hazijui ila anataka eti umuulize errors not affect Trial balance or affects Trial balance na hapo anasahau kama Trial balance ni moja kati ya books of accounts,ko muhimu jenga msingi wa kuchimba deep katika proffession yako sasa mkuu utakuwa mzuri tu na utanyoosha hizo paper maana maswali ya Utumishi yanataka mtu ambaye anakifahamu kitu kwa undani na si amekalili kitu kwa ajili ya kujibia Mtihani.
Mkuu TAA uliingia operation au security?
Accountant cyo.... Nmekupata kiongoziWatu wa kudebit na kucredit..
Yeah Mkuu Sasa Inabidi uanze kujifua vizuri sasa Ndugu yangu uwe Very Deeply maana hizi kozi wanaosoma ni wengi na Mtaani wako wengi pia ila wewe inabidi ujiweke tofauti kwa kuwa nondo zaidi.Sahihi kabisa mkuu mm ni mtu mtu wa makabati,ni kweli wengi wetu nikiwemo mm nko vzuri ktk calculation but upande wa maelezo nipo very poor mfano lile swali la kwanza daah limenpotezea sana muda afu sina uwakika nalo ila lingekuwa calculation basi ata dk lisingechukua kulimaliza.
Clerical errors nilizisoma japo hlo neno lilinpashda kdogo so nilvyoingia tu nikaanza nalo...
Ila kwastyle hii kuna watu wataumia sana,coz kuna watu uku vyuoni advanced kapiga pcm,pcb,hkl na n.k afu uku chuo kachagua accountancy so hawa watu wanameza hatari na GPA zao zinang'ara sasa wakija kukutana na hzi pepa watajiona vilaza sana mana hzi pepa zinaitaji uelewa wako zaidi.
Kama haya maswali ni magumu basi shuleni ulienda kupoteza muda1. Explain the five important terminals used in electrical .
2,. The most common method used for connecting wire conductor is wire connector. Explain this process
3- explain the terminal boxes used for residential and cottage wiring projects .
interview hiyo ya Electrical Technician kama mtihani wa history asee!!! Ambao mliofanya hii paper poleni sana wakuu sio kwa aina hii unampima fundi mchundo[emoji3][emoji3][emoji3] kama unataka kuajili mwalimu wa historia au uraia.?
Terminal used in electricalHilo swali la kwanza haliko wazi hivyo ni explain important terminals ndo lilikuwa swali la 3 then kwenye kujibu haijulikani ni terminals gani hasa za uwanja wa ndege au terminals za umeme
Subiri matokeo kuna watu watapata 90% ndio utaamini mtihani haukuwa mgumuMaswali hayako wazi kama unavyofikilia mkuu !!
Hiyo kawaida mkuu halafu ujaelewa nilivyosema hauko wazi haimaanishi hakuna watakaofaulu !! Kwa maoni tu ni mtihani ambao kila mtu anakuwa na majibu yake kutokana na jinsi alivyolielewa swali akuna yale majibu ya directly kama upo kwenye field ya umeme nazani umenielewa mkuu!!Subiri matokeo kuna watu watapata 90% ndio utaamini mtihani haukuwa mgumu
Ni kisanga yani mtihani mmoja unauliza maswali ya programming ya language 5 tofauti.Na kiuhalisia unakutaga mtu unajua language moja tu ya object oriented.
Ahsante sanamaswali yao meng ni ya java, python na c sharp sasa jitahid ujue hata intro zake tu alafu kasome multiple choice za https://www.indiabix.com/ utakuja kunishukuru siku moja
Ahsante sana
Soma swali vzr mwishoni limeishia vipiJamaa unakamba aisee hawajasisitiza hivyo
Sawa lakini acha uongoSoma swali vzr mwishoni limeishia vipi
Uongo gani Sasa au na ww ulifanya halaf ukaingia chaka ndio maana hutaki kukubali matokeo?Sawa lakini acha uongo
Naam..sahihi kabsaAccountant cyo.... Nmekupata kiongozi