Usaili wa kazi moja zaidi ya mara nne

Usaili wa kazi moja zaidi ya mara nne

Nyie mabwege mimi kama HR mkuu hapo mkae mkijua Scola anaripoti kwangu na nimeshampa dodoso lenye majina yenu wote wawili awafyekelee mbali maana tulipanga tuwape kitengo kimoja ila inaonekana adabu wote hamna.

Nafasi zenu tutawapatia watu wengine. We can not deal with such childish character kama mlioionesha hapa!
 
[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa.....Aisee... Season two wanatoa lini hawa wazeyaaaa...
 
Hizo nafasi wanapewa Zero IQ na Behaviorist mzee wa chura...[emoji38][emoji38][emoji38] imeisha hiyo
Nyie mabwege mimi kama HR mkuu hapo mkae mkijua Scola anaripoti kwangu na nimeshampa dodoso lenye majina yenu wote wawili awafyekelee mbali maana tulipanga tuwape kitengo kimoja ila inaonekana adabu wote hamna.

Nafasi zenu tutawapatia watu wengine. We can not deal with such childish character kama mlioionesha hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa kumwaga wino hivi hizi nafasi mlipata?
 
Uzi wa 2014 lakini huu.....kuna uwezekano hata hawa candidates wenyewe walishakufa kwa korona.....
 
Nyie mabwege mimi kama HR mkuu hapo mkae mkijua Scola anaripoti kwangu na nimeshampa dodoso lenye majina yenu wote wawili awafyekelee mbali maana tulipanga tuwape kitengo kimoja ila inaonekana adabu wote hamna.

Nafasi zenu tutawapatia watu wengine. We can not deal with such childish character kama mlioionesha hapa!
Boss post ya 2014 hii[emoji3]

Six years ago[emoji86]

I hope umeshajifukiza[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mabwege mimi kama HR mkuu hapo mkae mkijua Scola anaripoti kwangu na nimeshampa dodoso lenye majina yenu wote wawili awafyekelee mbali maana tulipanga tuwape kitengo kimoja ila inaonekana adabu wote hamna.

Nafasi zenu tutawapatia watu wengine. We can not deal with such childish character kama mlioionesha hapa!
You said childish character brother? Na unaita wenzio mabwege😁😁
 
Back
Top Bottom