tahan96
Member
- Apr 29, 2014
- 86
- 106
Habari wana JF
Samahani ningependa kuuliza kwa mwenye taarifa zozote kuhusu hiki kitu,
Who has the upper hand kwenye kutoa final candidates wa ajira husika katika hizi taasisi zinazo fanya usaili kupitia utumishi?
Je utumishi wana control kila kitu kuanzia written exam mpaka oral na final selected candidates au kwa namna flani hizi taasisi nazo zina kua na say katika hili?
Natanguliza shukrani.