Usaili TRA

Mkuu mimi nmetoka mda kidogo ila nadhani kuna wadau watakupa.update maana wamebandika majina
Mkuu umetoka au umepigwa chini huna hamu tena ya kwendelea kuangalizia wengine, ha haa haaaaa.
Mimi nimesha mwambia misheli wangu, siitaki tena kazi yenyewe ya rushwa, halafu unaweza kupelekwa huko vijijini mipakani.
 
Mwenye majina ayaweke hapa tuweze kujua kama tumepigwa chini
 
Watu wana ajira zao bado wanakuja kweny usaili wa TRA? Jibu ni kwamba kutokana na baadhi ya maafisa wa TRA kupata utajiri wa harakaharaka kwa njia za rushwa na ufisadi na jamii kuona ni jambo la kawaida kwa mtu wa TRA kupata utajiri wa haraka bila kuhoji wala kuchukia anachokifanya, tena jamii ndo inamsifia kuwa ni mjanja. Hapa ndo tulipofika kuona kila kijana anataka kuingia TRA hata kama huko aliko ana mshahara mzuri kushinda hata huo wa TRA atakaopewa, bali nia na dhamira yake akaibe, ale rushwa naye apate utajiri wa haraka bila ya kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. Sio vijana wote ila wengi wao hiyo ndo dream. Hapa ndo tulipofikia tukaipenda Rushwa, na ndiyo maana leo wengi wetu hatushangai hilo nyomi la vijana wenye ajira na bado wanakuja kweny usaili wa TRA.
 
Martin luther was a black jewish,bl v me,durng demstrn jewish gave him support,sasa hapa bongo mtanisaport mana njaa znaondoa ufahamu wa watu smtmz
 
Majina ya Assistant Customs Officer mbona hawataki kuyaweka jamani???
 
Mwenye majina ya Assistant customs officer ayaweke jamvini wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…