Faraja yangu
Member
- Apr 18, 2014
- 34
- 9
Habari wana JF,TPB walitoa tangazo la kazi kwa nafasi za freelancers na team leaders,nilituma maombi kwa e-mail lakini ilifail,lakini leo wamenitumia sms tano mfululizo za aina moja wakinihitaji kwenye usaili keshokutwa,pia wametoa namba zao kwa shida yoyote.Je,watakuwa kweli ni wao au watapeli wa mjini?Nisaidieni jamani

email zilifika ndugu zngu mi mwenyewe imetokea mara nyingi natuma emeil sehem zinagoma then nakuta nimekuwashortlisted. we nenda kapige interview hayo mengine utajua hukohuko
Na mimi nimetumiwa hiyo sms kaka niende kwenye interview kesho kutwa

Zilifikaje wakati unaambiwa PERMANENT FAIL?
NiPM kwa 0759246304,0657492998
Cha ajabu baada ya DEADLINE kuisha nimetuma zimekwenda fasta bin chapchap. Duh! Jaman kwel TZ yataka moyo.