nyamanolokwetu
Member
- Jan 30, 2023
- 89
- 284
Vijana mlioomba Ajira TAKUKURU Majina ya Kuitwa Usaili yametoka kwenye Website ya TAKUKURU
Kapambaneni
Kapambaneni
Bora umefafanuaZipo PDF mbili,moja ni ya majina ya Wachunguzi Wasaidizi na nyingine ya Wachunguzi,kwa hiyo ni vizuri kuzisoma kwenye website ya TAKUKURU
Mkuu, hawa jamaa wanasema kwenye Tangazo lao kwamba walioitwq wamefaulu usahili wa mwanzo, je hizi ni tofauti na zile kazi walizotangaza mwezi uliopita ?Hongereni wote mlioitwa kwenye usaili. Kama ya Jarkata mmeyasahau anzeni kujikumbusha. Kama uliiva imeiva tu,
Tip;
Mchujo wa kwanza kwenye kwata, written (comprehension) then oral mwisho mtamaliza na vipimo vya afya kabla list haijatoka Tena kwenda kozi. Nawatakia mafanikio mema
Nakumbuka walishafanyaga usaili, mwanzo nilijua ni list mpya kumbe ni walewale walioitagwa mwaka jana.Mkuu, hawa jamaa wanasema kwenye Tangazo lao kwamba walioitwq wamefaulu usahili wa mwanzo, je hizi ni tofauti na zile kazi walizotangaza mwezi uliopita ?
Hii ni mpya ya mwaka Jana tayari wapo makaziniNakumbuka walishafanyaga usaili, mwanzo nilijua ni list mpya kumbe ni walewale walioitagwa mwaka jana.
KUITWA kwenye interview it means walikaa na kuchambua maombi ya kila mmoja hivyo kitendo Cha KUITWA ni kwamba umeshafaulu usaili wa mwanzo(kulingana na vigezo walivyo viweka)Mkuu, hawa jamaa wanasema kwenye Tangazo lao kwamba walioitwq wamefaulu usahili wa mwanzo, je hizi ni tofauti na zile kazi walizotangaza mwezi uliopita ?
OkHii ni mpya ya mwaka Jana tayari wapo makazini
Sio sahihi kuna wapya kibao tu wameomba na wameitwa hiyo maana yako sio sawa na hii list.Nakumbuka walishafanyaga usaili, mwanzo nilijua ni list mpya kumbe ni walewale walioitagwa mwaka jana.