new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,713
.
Habari za usiku wapenda? Hope mko poa!! Jaman kwa aliefanya written interview ya nmb bank lake zone, nani anatetesi za posti zipo ngapi, na lini wanatoa majibu ya written interview!
yamebandikwa pale kenyata branch jana jioni nenda kachek jina lako tu mkuu
yamebandikwa pale kenyata branch jana jioni nenda kachek jina lako tu mkuu
Katika msafara wa Mamba kenge hawakosi!
Mtu yuko serious zen unajibu ujinga tu!
Walisema watapiga simu ukiwa umefaulu for next interview,sasa wewe unaposema wamebandika names kenyata branch una fikiri kwa kutumia m.a.k.a.l.i.o!!
kama una ndugu mwanza muagize akakuangilizie jina lako na akikuta hayo majina ww ndiyo utakuwa unafikiria kwa njia uliyotaja hapo juu
Nipo mwanza pia
kuwepo mwanza haitoshi nenda kenyata branch kaangalie,unaweza ukawa mwanza kumbe uko igombe
kama una ndugu mwanza muagize akakuangilizie jina lako na akikuta hayo majina ww ndiyo utakuwa unafikiria kwa njia uliyotaja hapo juu
Hv unajisikiaje kudanganya watu wazima?