Usaili Mifugo, Kilimo na Uvuvi Hakuna Mchujo

Complex number

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
217
Reaction score
56
Habari.

Tangazo la usaili utakao fanyika mikoani na Dar es salaam kwa wataalam wa mifugo, uvuvi, kilimo na madereva baadhi ya kada wameandika hakuna mchucho.

Je wana maanisha ni usaili/ interview ya namna gani huo/hiyo?

Asante.
 
nilikurupuka nikajua umekosea kuandika ukimaanisha mchujo. dah.

bora wangeandika kiswahili tu.
 
hakuna mchujo manake kutakuwa hakuna usail wa kuandika (written interview).
wasailiwa watafanyiwa usaili wa kuhojiwa tu (oral interview).
ila mbona suala hili linajulikana sana? ila ni kweli ninaanza kuamini. watu wanaomaliza degree zao za kwanza wa kipindi hiki uwezo wao wa ujuzi na uelewa wa mambo ni mdogo sana ukiwa mfuatiliaji wa posti zawatu ambao wengi ni vijana ambao ndio wamemaliza nadhani itakuwa degree au diploma .
masuali mengi ni ya kitoto na. mengine ni mambo very general ambayo kijana msomi anatakiws awe anayafahamu au angeweza kuyapata kirahisi sana yeye mwenyewe kwenye mitandao bila kuwauliza watu.
jamani embu kuweni makini na aina ya maswali mnayouliza huku kwenye mitandao. maswali mengine yanawaonyesha kwamba uelewa wako ni mdogo sana na sio ws kijana. msomi wa chuo.
ni hayo tu
 
M'bongo akikusaidia.. Utajuta :kev:

Hahahahaaaaaa mkuu Secret Service umo kati ya yale majina nn?
Kama ni hivyo mwenyezi Mungu ashukuriwe bwana make nilikuwa naona bidii yako ya kila siku ya kuhudhuria jukwaa hili la nafasi za kazi na tenda!!
nilikurupuka nikajua umekosea kuandika ukimaanisha mchujo. dah.

bora wangeandika kiswahili tu.
 
Swali lingine dogo la nyongeza 'usaili hakuna mchujo' ndo manaake ndo tumepita bila kupingwa na kupata ajira ama?
 
Ndiyo maana yake!Ilimradi tu vyeti vyako ulivyowapa wakakuita hiyo siku visiwe na magumashi. Madaktari,walimu,uvuvi,mifugo na Kilimo ni sekta ambazo demand zake ni kubwa nchini ndiyo maana wote hao huwa hawana Interview.
 
Hahahahaaaaaa mkuu Secret Service umo kati ya yale majina nn?
Kama ni hivyo mwenyezi Mungu ashukuriwe bwana make nilikuwa naona bidii yako ya kila siku ya kuhudhuria jukwaa hili la nafasi za kazi na tenda!!

Kaka muuza ubuyu hali bado ni tata. simo huko mzee. basi tu nawasupport vijana wa kilimo na elimu. hah ahah aha... ado nachakaza sori za viatu mitaani. niulize office gani siijui.. dah,,, ninazidi limiss boom tu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu Secret Service! Najua ipo sikumungu atakukumbuka tena katika muda usiotegemea na kwa kazi nono usiyoitegemea! Pambana tu kaka kuchakaza sori ( angalia kiatu kisiishe sori kama kiatu cha askari wa visiwani (just kidding))! Usisahau kumwomba mwenyezi Mungu kwani hali hiyo naijua!
Kaka muuza ubuyu hali bado ni tata. simo huko mzee. basi tu nawasupport vijana wa kilimo na elimu. hah ahah aha... ado nachakaza sori za viatu mitaani. niulize office gani siijui.. dah,,, ninazidi limiss boom tu.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa wote mlio changia maada,
mimi ni mmoja wa waliotwa bila mchujo,
kutokana na kuhofu kukosa ajira nilio kuwa nikitafuta toka mwaka 2012,
basi nitajianda kwa usaili kwa kuhojiwa(Oral interview) kama nao haupo basi, yote mema.
I wish you all the best.
 
wamedai watachukua wenye alama za juu na wengine watawekwa kwenye database pindi nafasi zingine zikitokea tu wanawapanga moja kwa moja bila kuwafanyia usahili tena.....hiyo ndo hali halisi
 
Asante sana Amevi,
Labda ni lini watarajia kutoa majibu(kuita watu kazini)
maana hatukupewa mda wa kuuliza maswali.
 
hakuna mchujo manake kutakuwa hakuna usail wa kuandika (written interview).
wasailiwa watafanyiwa usaili wa kuhojiwa tu (oral interview).
ila mbona suala hili linajulikana sana? ila ni kweli ninaanza kuamini. watu wanaomaliza degree zao za kwanza wa kipindi hiki uwezo wao wa ujuzi na uelewa wa mambo ni mdogo sana ukiwa mfuatiliaji wa posti zawatu ambao wengi ni vijana ambao ndio wamemaliza nadhani itakuwa degree au diploma .
masuali mengi ni ya kitoto na. mengine ni mambo very general ambayo kijana msomi anatakiws awe anayafahamu au angeweza kuyapata kirahisi sana yeye mwenyewe kwenye mitandao bila kuwauliza watu.
jamani embu kuweni makini na aina ya maswali mnayouliza huku kwenye mitandao. maswali mengine yanawaonyesha kwamba uelewa wako ni mdogo sana na sio ws kijana. msomi wa chuo.
ni hayo tu

acha kujidai wewe
 
Back
Top Bottom