James 25th
Member
- Feb 24, 2025
- 38
- 17
Napenda kuuliza kwamlio wahi kufanya interview za utumishi kwanjia ya online, hua inakuaje? Sababu nimeitwa nasijui inakuaga vipi. Mnijuze kwamnao jua
1.Jitahidi kujua username yako na password ajira Haki Kisha unafanya mazoezi ya kulog in.Ukifika utalog in kwenye account yako na mtihani utafanyia kwenye account yako.Napenda kuuliza kwamlio wahi kufanya interview za utumishi kwanjia ya online, hua inakuaje? Sababu nimeitwa nasijui inakuaga vipi. Mnijuze kwamnao jua
Hongera kwa kuchaguliwa kwenye Usahili MkuuNapenda kuuliza kwamlio wahi kufanya interview za utumishi kwanjia ya online, hua inakuaje? Sababu nimeitwa nasijui inakuaga vipi. Mnijuze kwamnao jua
Umeelezea vizuri sanaHongera kwa kuchaguliwa kwenye Usahili Mkuu
1. Ukiingia kwenye chumba Cha Usahili utaambiwa nenda kakae kwenye computer ambayo imewaka, inabidi ufanye ivyo
2. Baada ya apo kwenye screen ya computer utakuta Kuna uwanja wa ajira portal ivyo utaambiwa uingize username na Password kwenye ajira portal
3. Baada ya apo italeta jina lako kwenye dash board upande wa kulia juu na chini italeta jina la nafasi ya kazi uliyo omba, inaweza chukua hata dakika 20 kuwa kwenye iyo screen ya awali
4. Baada ya apo yule mtu wa Usahili ataongea na makao makuu kisha baada ya apo screen yako itabadilika na kukuletea maelekezo unayo takiwa kufuata pindi unapo Fanya mtiani, zoezi hili litadumu kwa muda wa dakika kumi ivi
5. Baada ya apo utakubali Aya maelekezo kwa kuminya kitufe Cha kukubali kisha mtiani wako utakuja
6. Mtiani unaweza kuwa na kaswali 40,45 au 50 na kila swali ni dakika moja ivyo muda upo wa kutosha maana ni multiple choice ivyo usiwe na papara
6. Ukiwa unachagua majibu kazi yako ni kuscrol chini au juu na kuchagua jibu usifanye kitu Cha tofauti na icho
7. Baada ya kumaliza maswali yote unaweza kusubmitt au ukasubiria muda uishe ili ijikusanye yenyewe
8. Mwisho kabisa utapewa karatasi kisha uta weka sahihi yako na apo itakuwa mwisho wa usahili
Cc: Mnanje Boy
Tafadhali weka swali lako vizuri.NAOMBA KUULIZA
Hivi kuna cheti cha form 4 au 6 chenye majina matatu yan katikati sio initial mfano JUMA FADLU DAUDI badala ya JUMA F DAUDI??
Ni maswali ya multiple choice.Napenda kuuliza kwamlio wahi kufanya interview za utumishi kwanjia ya online, hua inakuaje? Sababu nimeitwa nasijui inakuaga vipi. Mnijuze kwamnao jua