MR PAUL SADOCK
Member
- Aug 8, 2012
- 45
- 1
Au kw sababu jamaa kapitia JKT
polisi wamepigwa stop kuchukua watu ambao hawajapitia jkt. Ametuambia mkuu wa jkt juz tar 10 akitokea mtabila 824 kj. Nawashauri wanaotaka kuingia sector ya ulinzi waje jkt then wataliunga. Pia achen uoga jeshi la sasa halina mambo ya kizamani labda ukitinyanga ndo utazawadiwa dril na kazi za watu za kutosha. Professionals come this way. Hata wale waliofanya usaili uhamiaji wasahau,,, ni lazima wapitie jkt. Ukiona umeingia polisi bila kupitia jkt kwa sasa basi jua jkt haina askari wa kutosha kutokana na mahitaji ya idara husika.