Kuwa mpole! Utajuzwa
mi nazani watatoa soon ili tuungane na form 4 na form 6
Soma website...!
mi nazani watatoa soon ili tuungane na form 4 na form 6
Namaabisha kuungana nao kwenye usaili, hata wenyewe bado hawajafanyiwa usaili
Kwani umeshaitwa kwenye huo usaili?
mtoa mada ameuliza tutaitwa lini, mm nimemjibu nadhani hawatachelewa kuita watu ili usaili ufanyike pamoja na wale wa awali ambao ni form 4 na 6, walio kwisha itwa!
polisi wamepigwa stop kuchukua watu ambao hawajapitia jkt. Ametuambia mkuu wa jkt juz tar 10 akitokea mtabila 824 kj. Nawashauri wanaotaka kuingia sector ya ulinzi waje jkt then wataliunga. Pia achen uoga jeshi la sasa halina mambo ya kizamani labda ukitinyanga ndo utazawadiwa dril na kazi za watu za kutosha. Professionals come this way. Hata wale waliofanya usaili uhamiaji wasahau,,, ni lazima wapitie jkt. Ukiona umeingia polisi bila kupitia jkt kwa sasa basi jua jkt haina askari wa kutosha kutokana na mahitaji ya idara husika.

Kwa mwenye uzoefu (experience) plz naomba kujuzwa usaili kwa waombaji elimu ya juu huwa unafanyka baada ya muda gan tokea deadline ya kutuma maombi ambapo kwa mwaka huu ilkua31/8. Welcome...
Nawashauri watanzania wenzangu, msije mkajikuta mnakata tamaa kwa maneno ya kuambiwa na msije mkamponda mtu anayekupa habari! Chamsingi ni kuchukua kile ulichokisikia kwa asilimia kadhaa na usikatishwe tamaa. Uwa napiga story na wakubwa wa jwtz na polisi na wanachosema ni kwamba kwa upande wa professionals uwa wanachukua mtaani pindi uitaji unapokuepo! Kwaiyo kama wameitaji professionals wakatangaza kwa watu wa mtaani basi wao sio machizi kuzitoa cha msingi vuteni subira Mungu yupo.
Mungu akubariki mpendwa!