Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,901
- 5,523
Ni hatari sana.Nimwendo wa kukopa tu sasahivi
Yeah we have pln BNaskia mnampango wa kuhamia china na urusi
Urusi na china hawanaga hizo hela za kugawaaa.Naskia mnampango wa kuhamia china na urusi
Wataweza hao Warusi?Naskia mnampango wa kuhamia china na urusi
Dah aise pole mkuu na walikuwa wanalamba pesa sio mchezoZile offer za bia za mshikaji aliyekuwa anafanya kazi hapo sasa zimekufa rasmi
Zimwi walilichagua wenyeweUSAID is officially dead.
Elon Mask alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa
Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa
Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa
anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID
View attachment 3225645
Wale wenye proposal huko imekula kwetuNina rafiki yangu akifanyakazi Kizazi hodari sijui itakuwaje.
1. Kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira.Zile chandarua za bure tulizokua tunafugia kuku bye bye
Na wakati mkinywa wote mlikuwa mnamshangilia Trump huku mnamtukana Kamala 🤣Zile offer za bia za mshikaji aliyekuwa anafanya kazi hapo sasa zimekufa rasmi