Hodi hodi wadau,hizi maada za ajira zimenigusa sana nikaona hebu nami nijiunge ilinishee nanyi maana nami niko kwenye mchakato huohuo.Hivi tra waliita na watu wa Information System Auditor au bado?Naomba nijuzwe jamani.
nijuavyo kwa taarifa nilyopewa na mtu wa adminstration TRA bado wapo kwenye mchakato sasa wadau wengne wanasema washaita hapa sielewi kama TRA imedanganya au wadau wana2zngua
kwa taarifa yako ni kwamba waliofanya usahili jana kitengo cha PREVENTIVE ASSISTANT leo wamebandika matokeo MSIMBAZI CENTRE waliochaguliwa ni 308 oral ni kuanzia j3, upo hapo?
Jamani nauliza ni vipi kwa wale walichelewa kujua kua majina yao kua wameitwa kwaajili ya oral hususani wale wa mikoani?tunawezafanya huo usaili au ndio imekula kwetu?.