Ipililo
Senior Member
- Dec 19, 2015
- 107
- 83
UTEUZI WA JK NI SAHIHI
Kwa wale wanaohoji uteuzi wa JK kuwa Mkuu wa chuo UDSM ngoja niwasaidie.
Ni kawaida Rais Mstaafu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Umma. Mfumo huo ulianzia huko Marekani sisi tumecopy tu bt nchi nyingi za "Common Wealth" zinafanya hivyo.
Nchini Zambia Rais wa kwanza wa nchi hiyo Keneth Kaunda amewahi kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) wa University of Zambia, Kenya Rais mstaafu Moi amewahi kuwa Chancellor wa Nairobi University.
Hata hapa kwetu Mwinyi ni Channcellor (Mkuu wa Chuo kikuu) cha sayansi ya tiba Muhimbili (MUHAS) na Mkapa mkuu wa chuo Kikuu Dodoma (UDOM).
So JK kuwa Mkuu wa Chuo cha UDSM si ajabu. Ni uamuzi sahihi as long as haina effect kitaaluma kwa chuo hicho.
Mbona tunakua wasomi but tunashindwa kujua vitu vidogo hivi? Mkuu wa chuo (Chancellor) sio mtendaji. Ni cheo cha heshima tu. Yeye hahusiki na usajili wa wanafunzi au kupandisha ada wala anaweza asijue chuo chake kina "degree course" ngapi.
Tena unaweza kusoma miaka yote mitatu au minne hujamuona Mkuu wa Chuo wala humjui. Unakuja kumuona siku ya graduation.
Makamu Mkuu wa Chuo (Vice-Chancellor) ndiye huteuliwa kwa uwezo wake kitaaluma. Mara nyingi huwa "maprofesa" au "madoctor (PhD)"
Lakini hawa "maChancellor" kazi yao ni kushauri tu na kusubiri graduation waitwe kutunukia watu degree zao. Na sifa za kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) unatakiwa uwe public figure na uwe na angalau degree moja ya chuo kikuu. And JK posses all of these qualifications.
So "Chancellors" ni "Ceremonials" tu sio "Executives".. Ndio maana hawana hata ofisi vyuoni. Ukienda Muhimbili huwezi kukuta ofisi ya Mwinyi japo yeye ndo mkuu wa chuo, ukienda UDOM huwezi kukuta ofisi ya Mkapa. Hata JK hana ofisi pale UDSM.
So JK ataendelea na shughuli zake kama kawaida ila atakua anaitwa kwny baadhi ya mambo UDSM kwa ushauri kama vile vikao vya Council au Board of Trustee.
Baada ya hapo anarudi zake Msoga kulea wajukuu, anasubiri kuitwa tena kwenye graduation kuja kutunukia watu degree zao.
Kwahiyo tunachopaswa kuelewa hapa ni kuwa JK kapewa HESHIMA hajapewa AJIRA. Wengi wanaohoji wanadhani JK amekula ajira mpya. Hahahaa tujifunze kutafuta taarifa kabla hatuja argue. Kwa kifupi hiki ni cheo ambacho hakina MSHAHARA kwa sababu si cha kiutendaji.
Hata kama tunamchukia JK na CCM yake lakini penye ukweli tuseme.
Apewe tu.!
☝☝☝☝☝☝☝