Usagaji umekua fashion siku hizi. Tena watu hata hawaogopi kusema hadharana wanasagana. Kuna dada mmoja anasagana. Mwanzoni alikua akisema anasagana nilikua nabisha sababu huwa siamini haraka vitu ambavyo huwa nahisi sio vya ukweli. Kuna siku alituma chat kwenye group mwanamke mwenzie anamlilia kabisa. Anasema hakuna mwanaume anamridhisha kama akiwa na huyo dada. Anaomba warudiane. Na akasema akijua kama ana mwanamke mwingine atakachomfanya huyo mwanamke dunia itajua. Kuanzia pale nikaamini watu ni kweli wanasagana. Ni kama kastyle flani pia ka watu kuonekana wajanja hivi.
KWISHNEY KARUNGA.Mweeh laana sumaka....dunia kushney
Haya mambo yanatokea huko dar es salaam au?
Ndio napenda nijuwe.please hebu nieleze inakuaje?Do you really want to know mkuu?
Mkuu mbona nimeshaelezea.Ndio napenda nijuwe.please hebu nieleze inakuaje?
Kwakweli hii ni tabia mwili.wanawake wamekuaje?eti ya tabia nchi, sio ya tabia mwili kweli?
Wapi mi mbona Sijaona.tafadhali rudia kwa ajili yangu nakuomba.Mkuu mbona nimeshaelezea.
Hizo skills zake ni zipi sasa na hana penis? Then wote ni jinsia moja wanafanana yani in short..sioni mmoja anamvutiaje mwingine. Aisee wanawake hawa jamani.duhmkuu,kwa stori za wadau,uyo msichana hua ndo anaewasaga,naskia ana skills za kutosha,pata picha wanawake mbalimbali wanavyomgombania mkuu,yaani hua wanapigana kwa ajili yake,kwa ilo eneo wapo wengi mkuu,kuna mtoto mmoja wa chuo nae ni maarufu kwa iyo kaz,ni hatari sana
Ndiyo maana inaitwa kukoboa mkuu.Hizo skills zake ni zipi sasa na hana penis? Then wote ni jinsia moja wanafanana yani in short..sioni mmoja anamvutiaje mwingine. Aisee wanawake hawa jamani.duh
Daah aisee unazidi kunichanganya kabisa.aah powa Sky .vipi wewe unaweza kufanya hivyo?Ndiyo maana inaitwa kukoboa mkuu.
That is for me to know and you to find out mkuu.Daah aisee unazidi kunichanganya kabisa.aah powa Sky .vipi wewe unaweza kufanya hivyo?
I understand ,I respect your privacy Madame Sky ÉclatThat is for me to know and you to find out mkuu.
Siku nikifanikiwa kuingia jukwaa la wakubwa nitakesha aiseee.mana mwaka wa tano.kila niki mpm moderator holaaaa