kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,861 Reaction score 3,097 Apr 19, 2025 #1 Habari wauza pochi na mikoba zile pochi na mikoba white huwa unasafisha kwa kutumia nini zisipoteze ubora wake
Habari wauza pochi na mikoba zile pochi na mikoba white huwa unasafisha kwa kutumia nini zisipoteze ubora wake
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,825 Reaction score 113,411 Apr 20, 2025 #2 Lamomy na wadau wengine toeni maujuzi hapa
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,825 Reaction score 58,479 Apr 20, 2025 #3 Mkuu kusafisha kutokea wapi maana kwa ndani hapa hapa huwa tunaweka kwa nylons zile hydrophobic... Ila kutoka nje hyo inakuaal tofauti
Mkuu kusafisha kutokea wapi maana kwa ndani hapa hapa huwa tunaweka kwa nylons zile hydrophobic... Ila kutoka nje hyo inakuaal tofauti
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,861 Reaction score 3,097 Apr 23, 2025 Thread starter #4 Poor Brain said: Mkuu kusafisha kutokea wapi maana kwa ndani hapa hapa huwa tunaweka kwa nylons zile hydrophobic... Ila kutoka nje hyo inakuaal tofauti Click to expand... Kama unauza umetoa zile nylon zimepotea unataka mteja aone kwa hiyo hapo zimetundikwa huwa zinashika uchafu unatumia mbinu gani kusafisha
Poor Brain said: Mkuu kusafisha kutokea wapi maana kwa ndani hapa hapa huwa tunaweka kwa nylons zile hydrophobic... Ila kutoka nje hyo inakuaal tofauti Click to expand... Kama unauza umetoa zile nylon zimepotea unataka mteja aone kwa hiyo hapo zimetundikwa huwa zinashika uchafu unatumia mbinu gani kusafisha
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,239 Reaction score 8,261 Apr 24, 2025 #5 Pochi zipi Mzee hizi hizi za kawaida
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,783 Reaction score 95,577 Apr 24, 2025 #6 kinywanyuku said: Kama unauza umetoa zile nylon zimepotea unataka mteja aone kwa hiyo hapo zimetundikwa huwa zinashika uchafu unatumia mbinu gani kusafisha Click to expand... Tafuta nylon nyingine.
kinywanyuku said: Kama unauza umetoa zile nylon zimepotea unataka mteja aone kwa hiyo hapo zimetundikwa huwa zinashika uchafu unatumia mbinu gani kusafisha Click to expand... Tafuta nylon nyingine.
hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 1,013 Reaction score 2,196 Apr 24, 2025 #7 Kuna spray ya leather inapatikana supermarket, ile inayotumika kusafisha sofa za leather, hata kwenye ma carwash wanakuwaga nazo.
Kuna spray ya leather inapatikana supermarket, ile inayotumika kusafisha sofa za leather, hata kwenye ma carwash wanakuwaga nazo.
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,861 Reaction score 3,097 Apr 25, 2025 Thread starter #8 hsnaturalfertility said: Kuna spray ya leather inapatikana supermarket, ile inayotumika kusafisha sofa za leather, hata kwenye ma carwash wanakuwaga nazo. Click to expand... Inaitwaje bei gani
hsnaturalfertility said: Kuna spray ya leather inapatikana supermarket, ile inayotumika kusafisha sofa za leather, hata kwenye ma carwash wanakuwaga nazo. Click to expand... Inaitwaje bei gani