Usafirishaji wa mizigo mikoani

iron woman

Senior Member
Apr 22, 2013
147
19
Jamani wadau naomba mnisaidie naweza kupata wapi kampuni inayosafirisha mizigo na bei ni nafuu na mizigo inafika salama hata kama ni delicate .
Nataka kusafirisha vitu frm mbeya to dar.
Vitu kama makabati.. Fridge....
Asanteni
 
Back
Top Bottom