Usafirishaji wa mifugo na mazao

Usafirishaji wa mifugo na mazao

Joined
Sep 15, 2017
Posts
13
Reaction score
16
Samahani wakuu naomba kujua bei za kusafirisha mifugo mfano mbuz ngombe na kuku na magunia ya mazao kutoka mikoani kuja dar. Hasahasa kutoka mikoa ya dodoma na singida kwa malori.

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom