bilengeh
Senior Member
- Mar 31, 2017
- 135
- 86
Ndugu zangu nimepata kasehemu kakusimamia mambo ya logistic
Sasa nimekuja hapa kupata wadau wenye kuwa na association na mambo ya transit
Kama kuna yeyote ambae ana mzigo wa nje ama ana fanya kazi katika hawa wakala wa mizigo
Tushirikiene katika kupeana kazi na kama ilivyo ada hakuna kazi ya bure
So atapata kile anachostahili kupata
Kampuni ni ya mda mrefu lkn uongozi umeingia mpya na wateja wa mwanzo wanatuekewa ka uzito baada ya kumtimua mtu wao aliyekuwa anaiongoza.
Kampuni ina magari zaidi ya thelathini
Na ina kila document zinzohitajika
Karibuni