bernard frank ibwe
Member
- Dec 12, 2012
- 40
- 6
ITV?
seriously?
hakuna nchi ya ajabu kama yetu
Nimewaona walikuwa wanachechemea halafu wana mabaka meusi kwenye mashavu,jamani hii ni hatari sana kumbe kuna watu wanaenjoy hivi kwenye safari zao utadhani wanatumia ndege???!!!
mnhhh sijui hili taifa lkoje koje
'most primitive nation on earth'

Mimi mwenyewe nilipata mashaka kama yako.Mimi nadhani hao ni wahalifu, wakaona waingie kwa gea ya ungo ili wasisulubishwe. Mimi niliiona hiyo ITV, ingawa hawakuonyesha hizo nyungo walizokuwa wakisafiria nazo!
Mimi nadhani hao ni wahalifu, wakaona waingie kwa gea ya ungo ili wasisulubishwe. Mimi niliiona hiyo ITV, ingawa hawakuonyesha hizo nyungo walizokuwa wakisafiria nazo!