mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
jana jioni nikaona si vibaya na mimi nikajisogeza kunako stesheni nijionee hali halisi na jinsi ambavyo treni yetu imeweza kw akiasi kikubwa kutatua tatizo la usafiri.
Mnamo saa 1 kamili ya jioni nilikua pale stesheni.nilionyeshwa sehemu y akununulia tiketi nikapata moja.
Baada y akuingia ndani nilikutana na treni ya kigoma ambayo inapaki sambamba na treni ya ubungo-stesheni.muongozaji alitoa muongozo tusijekujichanganya.
Idadi ya watu niliyokutana nayo pale sio chini ya watu 1000. Na watu wliendelea kuongezeka kadri muda ulivyokua unasogea.
Treni ilifika mnamo saa 1.30 ikiwa tayari na abiria nilipochunguza nikaambiwa walipandia kituo cha kamata.kati ya watu 1000 waliokua stesheni ni takribani watu 400 tu waliopata nafasi.
Hali ilikua ni ya kugombania kupita kiasi na watu kujazana kwenye treni kuliko hata za india......
Tuliokata tiketi ikawa imekula kwetu.mbaya zaidi izo tiketi sio rasmi kwa maana kwamba>zinaprintiwa na mashine za selcom then wanaikata mara tatu ile printout wana ipiga mhuri.ile tiket moja ya selcom inakatwa zaidi ya mara 3 hadi 4........sidhani kama huo utaratibu upo official,otherwise ni hujuma.
Ombi: Mabehewa yaongezwe hasa muda wa jioni.....
Mbona wenzetu wakianzisha treni zao wanakuwa wameshazifikiria changamoto zote na kuzitatua kabla ya kazi kuanza. Sena akili zetu finyu tu. Tunajuwa kabisa kutakuwa kuna changamoto lakini hatuzitafutii ufumbuzi mpaka zitakapotokea wakati tuna uhakika zitatokea.
Nawalaumu waendeshaji na siwezi kumlaumu Mwakyembe, mwishowe watu watataka mpaka Mwakayembe ndio akaendeshe hizo treni, akakatishe tiketi, awapangie root na muda wa kuondoka na kufika, awapangie wafanyakazi.
Ni ujinga kuwawachia watu walouwa treni ya kati kuendesha treni hiyo.

Jana jioni nikaona si vibaya na mimi nikajisogeza kunako Stesheni nijionee hali halisi na jinsi ambavyo treni yetu imeweza kw akiasi kikubwa kutatua tatizo la usafiri.
mnamo saa 1 kamili ya jioni nilikua pale stesheni.Nilionyeshwa sehemu y akununulia Tiketi nikapata moja.
baada y akuingia ndani nilikutana na Treni ya Kigoma ambayo inapaki sambamba na treni ya ubungo-stesheni.Muongozaji alitoa muongozo tusijekujichanganya.
Idadi ya watu niliyokutana nayo pale sio chini ya watu 1000. na watu wliendelea kuongezeka kadri muda ulivyokua unasogea.
Treni ilifika mnamo saa 1.30 ikiwa tayari na abiria nilipochunguza nikaambiwa walipandia kituo cha kamata.Kati ya watu 1000 waliokua stesheni ni takribani watu 400 tu waliopata nafasi.
Hali ilikua ni ya kugombania kupita kiasi na watu kujazana kwenye treni kuliko hata za India......
tuliokata tiketi ikawa imekula kwetu.Mbaya zaidi izo tiketi sio rasmi kwa maana kwamba>zinaprintiwa na mashine za selcom then wanaikata mara tatu ile printout wana ipiga mhuri.Ile tiket moja ya selcom inakatwa zaidi ya mara 3 hadi 4........sidhani kama huo utaratibu upo official,otherwise ni hujuma.
Ombi: mabehewa yaongezwe hasa muda wa jioni.....
Mbona wenzetu wakianzisha treni zao wanakuwa wameshazifikiria changamoto zote na kuzitatua kabla ya kazi kuanza. Sena akili zetu finyu tu. Tunajuwa kabisa kutakuwa kuna changamoto lakini hatuzitafutii ufumbuzi mpaka zitakapotokea wakati tuna uhakika zitatokea.
Nawalaumu waendeshaji na siwezi kumlaumu Mwakyembe, mwishowe watu watataka mpaka Mwakayembe ndio akaendeshe hizo treni, akakatishe tiketi, awapangie root na muda wa kuondoka na kufika, awapangie wafanyakazi.
Ni ujinga kuwawachia watu walouwa treni ya kati kuendesha treni hiyo.
Akili finyu unazo wewe na aliyekulea, KOMA!
Si kila changamoto inafahamika kabla. Yapo ambayo yalitakiwa yashughulikiwe mwanzo lkn kubwa analoliongelea huyu muanzisha mada ni la kukurupuka.
Sasa hivi kuna rundo la wasafiri wasio rasmi wanatumia ile treni kwa hamu tu na wala hawana safari. The same ilitokea kwa Ferry ile mpya ya magogoni ilipowekwa majini kwa mara ya kwanza. Hawa wakishapungua, ndio idadi ya watu itajulikana, kwa sasa ni lawama za kijinga.
Hao wenzetu unaowasema wewe kuwa wakianzisha treni zao wanakuwa wameshazifikiria changamoto na kuzipatia ufumbuzi ni kina nani?
Sema walianza zamani, sasa kwa akili ya Kizombazomba unadhani waliamka wakaunga vyuma na kuanza kukwea. Tupo nyuma katika kila kitu, leo hii tuwalaumu wa treni.
Hao unaowaita wenzetu na wao madini yao yanaibiwa kwa peni kama yetu?
Hao unaowaita wenzetu na wao wana muda wa kupoteza kuandamana kipuuzi kama utakavyoandamana kesho au wako bize maofisini kuzalisha?
Hao unaowaita wenzetu na wao wanafunga shule zao za sekondari ili wanafunzi waende wakaandamane kwa mambo yasiyo na tija kwao?
Hao unaowaita wenzetu na wao wana watu kama wewe?