The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 217
umedandia nini, maana wenzako kibao wanaachwa njiani na ticket ni kidogo!
hakika ni fanikio na kila fanikio huzaa changamoto, je ndugu zetu walemavu wameandaliwa mazingira mazuri kwa ajili ya kufaidi huduma hii mfano vituo vya kupandia au ngazi mtelezo?Leo kwa mara ya kwanza nimepanda City train na kwa sasa niko nyumbani nimepumzika na familia yangu mara baada ya kumaliza kazi saa 9:30, kweli usafiri wa Train ni raha kwani ingekuwa dala dala ningekuwa bado na sota kwenye foleni. Hongera sana Dr Mwakyembe kwa kusimamia mawazo na maamzi yako.
Unapojenga hoja humu inapendeza tuone kama imetoka kichwani na si machoni, mdomoni, puani, ngozini au ulimini maana hiyo tu ni milango ya fahamu bali upelekee ubongo kwanza ili utafakari na kama ungefanya hivyo basi ungeposit posit yako ikiwa imezingatia yafuatayo:Leo kwa mara ya kwanza nimepanda City train na kwa sasa niko nyumbani nimepumzika na familia yangu mara baada ya kumaliza kazi saa 9:30, kweli usafiri wa Train ni raha kwani ingekuwa dala dala ningekuwa bado na sota kwenye foleni. Hongera sana Dr Mwakyembe kwa kusimamia mawazo na maamzi yako.
Hivi zinaenda kila penye barabara? Mbona mmepotoka jamani?????Hebu Mkuu niambie kuna air conditioner humo? Maana kama hakuna watu wengi wenye magari binafsi hawatapanda na hivyo foleni na magari barabarani hazitapungua!
Pole nana ndugu yangu!
Mwenyewe nimechemka kugombea tiketi waongeze tiket kwa siku zaidi tiketi 100,000 kwa siku ziwe standby
mkeo anajua?