mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,897
- 8,350
Naomba maelezo ya usafiri wa mabasi na nauli kutoka Tanga hadi Mombasa,muda wa mabasi kuondoka Tanga,nauli ,basi zuri na la uhakika.Je pia pale Mombasa ni guest house /hotel ya bei nafuu lakini ni salama naweza kuipata na kwa siku nalipia Ksh kiasi gani.Natanguliza shukrani