Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Salam wapendwa hapa JF.
TOFAUTI YA USAFIRI WA ANGA NA BARABARA
Najaribu kufikiria kwa mapana yake. Ukitumia usafiri wa ndege na barabara, kuna mambo makubwa hapa yanajitokeza katikati:-
1. Usafiri wa barabara, Rais anapotoka Singida mpk Dsm kwa barabara, n sawa kweli wananchi wanamwona na anapata muda wa kuwasalimia.
Je , swala la adha kwa watumiaji wa barabara inakuwaje hapo?
Je,gharama za msululu wa magari yote ukilinganisha na usafiri wa anga,upi nafuu?
Nipo Morogoro leo, nilipata shida ya kusafiri kuelekea Cairo.Tulizuiliwa Kihonda kwa muda ambao ningeutumia kwa kwenda Gairo,maana safari yangu ilikuwa go and return.