Usafiri wa ndege mbeya to mwanza

Namour

Senior Member
Joined
May 27, 2011
Posts
183
Reaction score
59
Inaweza kuwa bei gani msaada wadau nimepata dharula na kusafiri siku2 ntachelewa.
 
Uende Precision kwa ruti ya Mby - Dar - Mwanza. watakuambia bei.
 
Uende Precision kwa ruti ya Mby - Dar - Mwanza. watakuambia bei.

Mkuu Pmwasyoke, hivi Mkuu Namour yuko serious unauliza swali kwa ajili ya commercial flight au anataka tumpe bei ya kukodi ndege yake mwenyewe toka Mbeya hadi Mwanza?
 
Mkuu Pmwasyoke, hivi Mkuu Namour yuko serious unauliza swali kwa ajili ya commercial flight au anataka tumpe bei ya kukodi ndege yake mwenyewe toka Mbeya hadi Mwanza?

Naona na mwenyewe kanyamaza. Kwa vyovyote baadhi ya masawali - kama lake - hupata majibu haraka zaidi ukienda moja kwa moja kwa wahusika kuliko kuyaleta kwanza JF.
 
Jibu lake nshalifanyia kazi,unaleta utani nikodi unadhn ni chaimaharage za kwenda kwenu.kama vidole vyako havina busara potezea coz sikutaja jina la ninayemwomba msaada.
 
Nami pia nisaidiwe kutoka Dsm hadi Mbeya ni sh ngapi ? Jumlishia na hiyo VAT yao , halafu kutoka pale Songwe hadi Mby mjini kuna usafiri wa uhakika ? Ni muda kutoka hapo uwanjani hadi mjini ? Safari yangu inaishia Kyela , je ni bei gani kutoka mbeya mjini hadi Kyela na ntatumia muda gani kufika ? Hii ni Kwa mwenye majibu ya uhakika tu, Hakuna haja ya matusi , nimechoka kusafiri kwa basi maana safari ni ndefu mno .
 
Dar-Mbeya -Dar (Return ticket) ni Tsh. 249,000/=(including tax & other charges).

Songwe mpaka mjini ni dakika 20, usafiri unategemeana na wewe unataka utumie nini, lakini kuna shuttle sh. 5,000, taxi sh. 15,000 -20,000, daladala sh. 500, pia kuna coaster zinazotoka Tunduma ni sh. 1,000, pikipiki ni sh. 3,000.

Angalizo, usafiri wa daladala, coaster za Tunduma na pikipiki unapatikana nje kabisa ya uwanja (yaani kwenye barabara kuu ya Mbeya -Zambia).

Ukifika mjini, nauli toka Mbeya mjini mpaka kyela ni sh. 3,500 (coaster) na ni mwendo wa dakika 45.

Kwahiyo kwa uchawi wa mzungu, kutoka Dar mpaka Kyela kwenye mchele wa ukweli utatumia masaa 2 na dakika 35.

Ukienda kwa njia ya Magufuli (barabara/basi), utatumia masaa 12 mpaka Kyela, lkn utafaidi kuona vivutio vya utalii mbugani Mikumi, Ruaha, misitu ya Mufindi, milima ya kitonga n.k.

Ni matumaini yangu kuwa nimejibu maswali yako.
 
Ufafanuzi murua na wengine tumenufaika.
 
Asante kwa ufafanuzi, ingawa sikuuliza. Lakini Precision wanatangaza kuwa dk 90 unakuwa mbeya yaani saa moja na nusu ambapo nafikiri ni sawa kawa ATR
 

Thank you very much Brooklyn , your the best , may god bless you .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…