simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,680
Sasa Nairobi na Eldoret inahusika vipi na sie wadanganyika
Nina mashaka na IQ yako, hapa siyo Nairobi Eldoreti
Nina mashaka na IQ yako, hapa siyo Nairobi Eldoreti
Msamehe bure labda alidhania yuko Eldoreti
International ndo Nairobi Eldoreti? Lala unatupotezea muda tu hapaCaptain, whatever get your bearing right! Tupo INTERNATIONAL FORUM dummy.
International ndo Nairobi Eldoreti? Lala unatupotezea muda tu hapa
Acha ubishi flight from Nairobi to Eldoreti will never be an international travel. Tatizo hamuendi field mnangoja vya kuletewa mezani halafu mnajifanya kujua kuliko waliofika field, mwishowe mtasafiri Ilala Bagamoyo pia mseme ni International.kama hujui maana ya internationa l kajisajili begginers english tuition. Advice given in good faith ndugu.
Waziri wa Africa Masharaki muheshimiwa Sita Kazi ipo. Need more sensitization seminars kwa watanzania on fursa zilizopo EA.
Hii ni baada ya ujio wa kampuni ya Fast Jet iliyo na uhusiona na kampuni maarufu ya Easy Jet. Hapo hapo KQ imezindua huduma ya bei poa kati ya Nairobi na Eldoret kwa bei ya Ksh 5000 return ticket. Precision Air mpo?
Capital Business » Budget airline Fast Jet flies into EA market