Chilangachiba
Member
- Oct 2, 2012
- 26
- 2
Mkuu sijui uunganishe from Mbeya? Sina hakika kama kuna straight away mpaka kwa Mugabe.
aah, kumbe ndo TAQWA. jamaa inabidi ajiandae kukaa mpaka siti ibonyee.Ipo. Kuna mabasi yanajulikana kama TAQWA yanaenda Harare, Lusaka, Lubumbashi... na ni kila siku. Ila jiandae maana yamekaa kimizigo mizigo zaidi. Ofisi zipo ubungo jirani na Terminal.
Ipo. Kuna mabasi yanajulikana kama TAQWA yanaenda Harare, Lusaka, Lubumbashi... na ni kila siku. Ila jiandae maana yamekaa kimizigo mizigo zaidi. Ofisi zipo ubungo jirani na Terminal.
Kha, mbona ghali hivyo??Sawa kabisa,Taqwa nauli toka Dar mpaka Zimbabwe (harare) wanachukua 120,000.Ila ndio hivyo ni zaidi ya lory,ingawa si wakati wote!
Ngoja nikuangalizie # ya mulugo
Mie naenda Mabwepande wakuu, nauli yake shing-hijo?
Mwana fanya hivi, chukua basi hadi tunduma, then ukifika tunduma vuka mpaka panda mabasi ya Lusaka. Ukifika Lusaka (inter bus terminal) kuna mabasi mazuri sana, (sidhani kama kwa sasa bongo tunayo mabasi mazuri kama yale) kila siku yanaenda moja kwa moja harare. Achana kabisa na sijui mabasi ya taqwa and the likes yanayotoka dar kuelekea lusaka hadi harare, I'm telling you utafika harare baada ya mwezi mkuu. Nauli hope haiwezi kuzidi kilo ya bongo, lakini inabidi uwe fresh mfukoni au vip?.
Kilo ya bongo ni sawa na bei gani ya Zimbabwe?