Chilangachiba
Member
- Oct 2, 2012
- 26
- 2
Hi, ndugu zangu, habari za leo! Ninasafari ya kwenda Zimbabwe mwisho wa mwezi huu, naomba kujua kama upo usafiri wa mabasi wa kutoka Dar kwenda Harare. Na je nauli ni shilingi ngapi kwa sasa. Naomba anayefahamu anijulishe.
Asanteni sana
Asanteni sana