malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Habar wakuu, Niko dar kesho nina safari ya kwenda Kondoa, nauliza kuna gari za kwenda huko? Ni kampuni gari nzuri ya bus za kutoka Dar kwenda Kondoa?
Na nauli ni shilingi ngapi zinatoka Dar muda gani?
Na nauli ni shilingi ngapi zinatoka Dar muda gani?