naomba kuuliza kwa wazoefu..nauli ya kutoka dar es salaam kwenda uganda ni shilingi?na ni bus gani zuri la kusafiria?na kwenda uganda kunahitajika paspoti ya kusafiria au ni kitambulisho cha kawaida?
passport lazima.miaka yangu nilikuwa nasafiri na akamba bus but siku hizi siioni.naona kuna bus inaitwa kampala coach but sijawahi kuitumia na sijui ina perform vipi.kama unataka kusafiri kwa njia rahisi na za mkato ambazo sometymz nilikuwa nazitumia.kwa sasa panda ndege oviously fastjet kwa bei nafuu,ukifika mwanza panda magari ya sirari.ni vizuri u cross border uingie upande wa kenya,lala hapo hisbania utapata mabasi mengi yanayoondoka alfajir kwenda kisumu.yanaanza kuondoka kuanzia saa 10 alfajiri.ukifika kisumu yako magari mengi sana anya tym kwenda uganda,unaweza kwenda hadi boda then ukapanda ya sehemu unakotaka kwenda.otherwise kuanzia mwezi huu katikati kutakuwa na fastjet kuelekea entebe.bei inaanzia elfu 80 ukiongeza na kodi inafika laki na sitini.
Mkuu kama atachagua usafiri wa ndege mpaka Mza atapata mabas ya Friends toka Mza mpaka Kampala bila wasi wasi na ni usafiri wa uhakika. Mabasi yao ni mazuri... Hana haja ya kupita Kenya kama atafika Mza..

Kama unataka kujua geograph, chukua basi mpaka mwanza then utapata mabasi ya friends ambayo yanatoa huduma ya kila siku to Kampala.
anaweza kufanya hivyo,but mukungu what i hate most is the time used for the journey.ukiondokea hapa dar kwa bus,uitafute nairobi then usiku kucha uko kwa njia hadi kesho yake mchana,naona shida sana.imagine ulipe laki na kumi then ukae karibu masaa 36 hadi 40 njiani.mi nashauri ni bora awahi tiketi za fastjet zikiwa bado ziko cheap.kuliko kulipa laki na kumi ni bora aongeze elf 50,apande ndege mpaka entebbe then atajiongeza aendako kutokea entebbe.cjui hayo mabasi kutokea mwanza yanapita route gani,kwani wakati wangu hata nilipokuwa nikiondokea mwanza nilikuwa napanda akamba inaondoka saa saba mchana kupitia kericho.
Mkuu yanapitia Geita, Katoro mpaka Bukoba kisha yacross border to Uganda. Hii route si ya muda mrefu sana nahisi kama 2yrs back.....
ni muda gani hadi kampala kupitia bukoba?nauli ni kiasi gani?