Kgiga Henry Henry
New Member
- Jan 6, 2016
- 3
- 0
Nimejaribu kufanya uchunguzi mdogo jijini DSM, Morogoro, Dodoma na Tanga. Nimegundua kwamba katika Treni, Mabasi na Daladala wasafiri walio wengi ni wanaume. Lakini kwenye Bajaji na Bodaboda wengi wasafiri ni wanawake kwa nini iko hivyo? Wadau utafiti huo unaweza kuwa sahihi kwenye Mikoa yote?