Usafiri Mwanza to Kampala msaada

Bipolar

Member
Apr 29, 2016
44
49
Wadau naombeni kujua usafiri kati ya Mwanza to Kampala kama usafiri wa bus upo (kampuni gani) na nauli yake. Asanteni na nawatakia heri ya mwaka mpya 2017.
 
Mabasi yapo mengi tu ni pamoja na Mabasi ya kampuni ya FRIENDS. Nauli ngoja waje wengine Mimi nilisafiri Siku nyingi kidogo.
 
Friends bus wako powa sana na nauli ndo hiyo 45 watakushusha pale old Kampala karibu na police central yao ndipo ofisi zao zilipo karibu tu na mjini kabisa uliza lingine mdau
 
Umenena mkuu na Nashukuru sana
 
wanaongea lugha gani huko?...nasikia kiswahili hakipandi kabisa
 
Wadau naombeni kujua usafiri kati ya Mwanza to Kampala kama usafiri wa bus upo (kampuni gani) na nauli yake. Asanteni na nawatakia heri ya mwaka mpya 2017.
Magari ni mengi tu Kampala to Mwanza, magari yapo J4 express,friends kwa wingi sana.
 
Back
Top Bottom