Usafiri kafiri!

hilo lililopanda juu ya mti sujui lilifikaje huko
 
hilo lililopanda juu ya mti sujui lilifikaje huko

Ilitokea kama miaka mitatu iliyopita kattika daraja la kawe along bagamoyo road gari moja liligonga kingo ya daraja na kupaa na kunasa juu ya mti
 
Unafgikiri ndio maana halisi ya hiyo methali???????????????rudi shule ujue maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…