S skumbuzo Member Joined Jun 6, 2016 Posts 8 Reaction score 2 Jul 9, 2016 #1 Kwa yeyote Aliye mwanza au anatembelea Jiji la mwanza napenda kumkaribisha endapo atahitaji usafiri wa kumzungusha kwa shughuli zake.basi awasiliane nami kwa namba 0742265564.atapata usafiri wa gari ndogo kwa bei Nafuu,kwa wakati wote.karibuni sana
Kwa yeyote Aliye mwanza au anatembelea Jiji la mwanza napenda kumkaribisha endapo atahitaji usafiri wa kumzungusha kwa shughuli zake.basi awasiliane nami kwa namba 0742265564.atapata usafiri wa gari ndogo kwa bei Nafuu,kwa wakati wote.karibuni sana
K Keben JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 725 Reaction score 178 Jul 10, 2016 #2 Inachukua watu wangapi?
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,110 Jul 10, 2016 #3 mkuu hiyo ni self-drive ama?halafu nyie watu wa mwanza tugari twenu tuchafu sana yaani mtu unapanda taxi utadhani upo chooni harufu mbaya sana
mkuu hiyo ni self-drive ama?halafu nyie watu wa mwanza tugari twenu tuchafu sana yaani mtu unapanda taxi utadhani upo chooni harufu mbaya sana
K Keben JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 725 Reaction score 178 Jul 11, 2016 #4 joshua_ok said: mkuu hiyo ni self-drive ama?halafu nyie watu wa mwanza tugari twenu tuchafu sana yaani mtu unapanda taxi utadhani upo chooni harufu mbaya sana Click to expand... usafi kwa Msukuma siyo muhimu
joshua_ok said: mkuu hiyo ni self-drive ama?halafu nyie watu wa mwanza tugari twenu tuchafu sana yaani mtu unapanda taxi utadhani upo chooni harufu mbaya sana Click to expand... usafi kwa Msukuma siyo muhimu
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,292 Jul 11, 2016 #5 EFD risiti pia vp!