TBH pacha sikumbuki jina lake...kule mndenyi kwetu zilikuwa famous sana...afu kwenye miteremko...it was all safe hadi enzi magari yalipoanza kuja hadi mndenyi kwetu..tukakatazwa, hatukuacha...nikapata ajali baiskeli yangu iligongana na mandolini...tangu siku hiyo niliacha kuendesha.
sipati picha ndo nimeipata ile baiskeli hapa kwenye hii bara bara...my favourite car ni any AUDI brand..lakini....sijui kwa nini sikuwaza hilo kwanza...my first thought...BAISKELI YA MBAO!