kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,143
- 15,757
Wakuu,,,,
Mm sio mwenyeji wa Dom , japo naendaga mara kadhaa na kurudi! Sijawahi kukaa zadi ya siku nne, nikimaliza kilichonipeleka narudi ! Sana Sana napajua nyerere square, bunge , waswanu na bambalaga!!
Back to the topic, kuna rafiki yangu yupo huko, anahitaji kusafiri usiku wa tar 24 kwenda Arusha/moshi ! Je Ni usafiri gani anaweza kupata ? Ni mtoto wa kike, ni muoga pia kiusalama hataweza kupanda malori ama hizi private ! Je Dom hakunaga coaster ambazo ni special zinasafiri usiku ? Hata huu msimu wa sikukuu pia ?
Ingekuwa ni Dar Ni rahisi Sana, hata kama sio msimu wa sikukuu coaster zinazosafiri usiku zipo !
Je kwa Dom Kama zipo zinazoenda Arusha/Moshi zipo zinapark wapi ? Au wapi akabahatishe mabus makubwa ? (Muda ni kuanzia saa moja mpaka saa tatu usiku) Mtaniuliza kwa Nini asafiri usiku? Majukumu yamembana likizo yake inaanza tar 24 jioni na anataka akajumuike na ndugu zake !