komba05
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 367
- 293
Kiukweli watanzania kwa ujumla suala la choo ni kitu cha mwisho kabisa katika UJENZI, hata USAFI, hapa naorodhesha taasisi 6 za umma zenye angalau vyoo bora & safi katika jiji la Dar es Salaam.
1. Hospitali MWANANYAMALA...
Hapo kwenye hospital ya Mwananyamala, mkuu unaongopea umma! Nakushangaa hujaiweka hospital ya Lugalo!