'USAFI WA NDANI' kwa kina dada...

ila hatari wa Dada was Siku hizi wananuka papuchi kama panya alieoza
 
Hapo kwa blue unamaanisha nini?
 
Hata spray hazikati harufu ya kikwapa,cha msingi wanunue deodorant maana kuna watu ukipishana nae anatoa harufu kama beberu,hayo manywele sasa dah
 
Kunyasi (angalia astringent kwenye kamusi ya TUKI, ile ya Kiingereza-Kiswahili) siyo lotion.

Google and Bing are also your friend. Utilize them.

thank youu nimeelewa...
 

nimeshaelewa,shukrani
 

Jack of all trades eh? Impressive.
 

we kapuya ututake radhi, hao waliozaa umetembea nao wangapi mpaka u dare kusema hasa waliozaa? Kama mkeo toka amezaa usafi kwake umekuwa adimu u should never generalize ur problem. Kwanza nahisi kabisa wewe ni mmoja wa wale ambao ukivua viatu lazima watu waage!
 
Heheh!!! ndio hivyo besti.

Ila mimi chombo kikiwa kichafu lazima nikioshe vizuri tayari kwa maakuli.[/QUOTE]
Sijui kwa nini ila yale maneno pamoja na tafsiri yako vimeniumiza sana!
Heri yako wewe unayekosha mwenyewe
 
Mi nina imani kabisa kuna wengine hapa hamma hata bajeti za body spray, deodorant wala pafyum kwa wake zenu au magirlfriend halafu mnakuwa wa kwanza kulalama kunukia.
Mnawanunulia Cobra sijui kulsum, red rose halafu mnataka kusikia harufu za Hugo, secret, issemyak.
Acheni mezani hela za saloon wakaoshe nywele kila week. Kwa usafi wa kawaida unamwelekeza tu bwana kaoge au kanawe ila kwenye mirashi lazima muwanunulie.
 
Hahaaaa dah.. Wawe wanachagua 2 days ktk month ya kujisafisha tu ukweli ni nomaaa

2 days kwa mwezi???atanuka kama beberu,mwanamke hujiswafi kila siku,miili yetu ni tofauti na yenu,usafi ni suna kwa mwanamke.....
 

hapo umenena wasiwe wabahili kununua combo ya Victoria secreat(Amber)walaah utamla mpenzi wako kwa utamu tu wa kunukia.
 

"sitakutumia na ukibahatika nikakutumia. . . ." this is bu shit, u call it luck? What is so luck about that stick which havent gone to school? It can respond to any one who knows how to flash it well so dont call it luck.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…