R rasheedtee-yam Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6 Reaction score 5 Dec 31, 2018 #1 Mimi Rasheed Huwa Naamini Sana Kipimo Cha Usafi Wa Mtoto Wa Kike Au Mwanamke Ni Mdomo Wake. Kama Mdomo Wake Utakua Unaongea Maneno Machafu Muda Wote Huwa Napata Shaka Sana Kuamini Kwamba Other Parts Anaweza Kua Msafi.
Mimi Rasheed Huwa Naamini Sana Kipimo Cha Usafi Wa Mtoto Wa Kike Au Mwanamke Ni Mdomo Wake. Kama Mdomo Wake Utakua Unaongea Maneno Machafu Muda Wote Huwa Napata Shaka Sana Kuamini Kwamba Other Parts Anaweza Kua Msafi.
S Shaka-Zulu JF-Expert Member Joined Nov 20, 2018 Posts 432 Reaction score 831 Dec 31, 2018 #2 Umenena vizuri!!! Hata watu wenye ulemavu ya kuona, huwa wanamtambua jinsi mtu alivyo kutoka maneno anayoyasema.
Umenena vizuri!!! Hata watu wenye ulemavu ya kuona, huwa wanamtambua jinsi mtu alivyo kutoka maneno anayoyasema.
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 3,763 Reaction score 9,766 Dec 31, 2018 #3 Kinywa cha kahaba hunena maneno matamu kama maji mazuri ya chemchem ila ndani kumejaa uharibifu na ulaghai. Sent using Jamii Forums mobile app
Kinywa cha kahaba hunena maneno matamu kama maji mazuri ya chemchem ila ndani kumejaa uharibifu na ulaghai. Sent using Jamii Forums mobile app
R rasheedtee-yam Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6 Reaction score 5 Dec 31, 2018 Thread starter #4 Adverse Effect said: Kinywa cha kahaba hunena maneno matamu kama maji mazuri ya chemchem ila ndani kumejaa uharibifu na ulaghai. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sasa usiombe awe kahaba alafu kinywa kichafu Sent using Jamii Forums mobile app
Adverse Effect said: Kinywa cha kahaba hunena maneno matamu kama maji mazuri ya chemchem ila ndani kumejaa uharibifu na ulaghai. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sasa usiombe awe kahaba alafu kinywa kichafu Sent using Jamii Forums mobile app