Usafi wa mwanamke ni hamasa katika tendo

Usafi wa mwanamke ni hamasa katika tendo

pongwer

Senior Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
174
Reaction score
26
Ukiwa na mpenzi anayejali afya yake raha sana. Mwanamke awe msafi wa nje na hata wa ndani. Lakini pia mwanamke akiwa msafi (wa nguo za ndani na usafi wa mwili anahamasisha ktk tendo la mapenzi).

NOTE:
MIMI MPENZI WANGU KILA NKIKUTANA NAYE ANANIPA HAMASA YA KUFANYA TENDO PIA HUWA HATUCHOKI NA TUNAFURAHIA WOTE PIA

SWALI LANGU NI KWAMBA, KUNA MADHARA YOYOTE YA KI BIOLOGIA KUTOKANA NA KUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA?

NAOMBENI MAJIBU WANA JF please!
 
Madhara akuna labda iwe kwa kuchepuka ndo madhara mengi,kwaio mzee unadumisha hapa kazi tuu
 
Watu wanatofautiana..Kuna mmoja hapa aliwahi kusema anapenda sana mke wake akivundika uvundo kwenye papuchi
 
Hakuna madhara! we gegeda tu si umeamua
 
Kila kitu kinafaida na hasara, unadhohofisha afya kufanya mara kwa mara
 
Unazuia mimba kwa njia gani kama unafanya mara kwa mara?
 
MWANAMKE MSAFI MTAMU SANAAA,unaweza ukaenda round nyingi sana bila kumchoka kabisa.
 
Unazuia mimba kwa njia gani kama unafanya mara kwa mara?

yeye mwnyew n daktar kwahyo anafaham vzur mzunguko wake pia hajawah kutumia madawa ya uzaz au cndani za kuzuia mimba hvyo mzunguko wake ni mara moja kwa mwez na upo hvyo static haubadiliki !
 
We acha utani.
Ugali dagaa tendo la ndoa Mara kwa Mara unadhoofisha afya, istoshe mtu anaedandia papuchi Mara kwa Mara atakua majukumu yake Utata........
 
Moja ya madhara ya kufanya mapenzi mara kwa mara ni kusababisha kifanyio kuisha mithili ya kipande cha sabuni.....
 
Unapunguza nguvu zako. Na unatengeneza mazoea ya kuchokana. Sasa hivi utatamani wengine.
 
  • Thanks
Reactions: Art
Ukiwa na mpenzi anayejali afya yake raha sana .
Mwanamke awe msafi wa nje na hata wa ndani .
Lakini pia mwanamke akiwa msafi(wa nguo za ndani na usafi wa mwili anahamasisha ktk tendo la mapenzi).

NOTE:
MIMI MPENZI WANGU KILA NKIKUTANA NAYE ANANIPA HAMASA YA KUFANYA TENDO PIA HUWA HATUCHOKI NA TUNAFURAHIA WOTE PIA

SWALI LANGU NI KWAMBA KUNA MADHARA YOYOTE YA KI BIOLOGIA KUTOKANA NA KUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA??

NAOMBENI MAJIBU WANA JF please !
Hivi unafahamu matumizi ya alama ya mabano ama unajiwekea tu kwa kuwa unawaza kufanya ngono kila wakati?
Ili hiyo sentensi yako ilete maana, kuna mambo mawili ya kuyafanya;
1.Uondoe hizo alama ama
2.Uongezee maelezo ( kishazi huru).
 
yeye mwnyew n daktar kwahyo anafaham vzur mzunguko wake pia hajawah kutumia madawa ya uzaz au cndani za kuzuia mimba hvyo mzunguko wake ni mara moja kwa mwez na upo hvyo static haubadiliki !

Je, mpenzi wako hana uelewa juu ya swali ulilouliza?
 
Back
Top Bottom