Usafi wa madereva na makonda wa daladala ni jukumu la nani?

kwa Dar hata abiria wennyewe wachafu- hasa wanaume vijana wengi asubuhi hunuka vikwapa hawaogi!!!!
Kweli mkuu, hasa hawa vijana wanaoelekea sehemu za masoko kama karume, kariakoo nk. aisee usiombe upate bahati ya kusimama kando yake halafu basi limejaa.
 
Back
Top Bottom