Usafi wa jiji la Makonda leo

Usafi wa jiji la Makonda leo

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
Habari wana jf.
Huu usafi wa jiji la makonda mbona umedorora? au ni hii mitaa yetu tu?

Tujuzane hapo ulipo kama watu ni nyomi.
 
Habari wana jf.
Huu usafi wa jiji la makonda mbona umedorola? au ni hii mitaa yetu tu?

Tujuzane hapo ulipo kama watu ni nyomi.

Makonda unajitahidi na mambo mengi, madawati kwa wanafunzi, usafi, n.k.
Ushauri: Leo unawashirikisha wakaazi wa Dar es Salaam kufanya usafi kwa mfumo wa uhamasishaji na kampeni, ili mpango huu wa usafi uwe sustainable lazima pawepo program maalumu ambayo ina mambo yafuatayo: Eneo, Wahusika, shughuli, Gharama, na deliverables.

Kwa kushirikiana na mamlaka ya jiji panaweza kuanzishwa kodi maalumu ya cabbage collection ambayo itakuwa inalipwa na na kila mkaazi Household, business premises, viwanda, taasisi mbali mbali kwa viwango maalumu. Kodi hii iwe monitored na wakaazi wenyewe wa mtaa husika.

Wananchi waelimishwe waunde vikundi vya kufanya usafi ambavyo vitafanyiwa mafunzo na kila manispaa kuhusu Waste Management Program... ambayo itahusisha waste identification, waste collection, and methods of disposal.Vikundi hivi vitalipwa na mfuko huu maalumu kutoka kwenye ada za kila mtaa.

Unaweza kuonekana ni mpango mrefu na mgumu lakini unaweza ukawa suluhisho
 
Kutumia vikundi kunahitaji organisation and coordination ya hali ya juu sana, maeneo mengi walijaribu miaka ya nyuma wakashindwa kutokana na fedha ilokuwa inakusanywa kutafunwa kijanja pasipokelekezwa kwenye maeneo husika
 
Kama huko nyuma mpango wa vikundi hakukufanikiwa sababu ya usimamizi dhaifu wa fedha za ushuru wa taka, hatuwezi sasa kukaa chini na kuhesabu tumeshashindwa. Kumbe tayari hela zikukuwa zinapatikana, tatizo ni usimamizi wa fedha. Basi tuanze na hilo
 
Makonda unajitahidi na mambo mengi, madawati kwa wanafunzi, usafi, n.k.
Ushauri: Leo unawashirikisha wakaazi wa Dar es Salaam kufanya usafi kwa mfumo wa uhamasishaji na kampeni, ili mpango huu wa usafi uwe sustainable lazima pawepo program maalumu ambayo ina mambo yafuatayo: Eneo, Wahusika, shughuli, Gharama, na deliverables.

Kwa kushirikiana na mamlaka ya jiji panaweza kuanzishwa kodi maalumu ya cabbage collection ambayo itakuwa inalipwa na na kila mkaazi Household, business premises, viwanda, taasisi mbali mbali kwa viwango maalumu. Kodi hii iwe monitored na wakaazi wenyewe wa mtaa husika.

Wananchi waelimishwe waunde vikundi vya kufanya usafi ambavyo vitafanyiwa mafunzo na kila manispaa kuhusu Waste Management Program... ambayo itahusisha waste identification, waste collection, and methods of disposal.Vikundi hivi vitalipwa na mfuko huu maalumu kutoka kwenye ada za kila mtaa.

Unaweza kuonekana ni mpango mrefu na mgumu lakini unaweza ukawa suluhisho
Hizi ndizo kazi za msingi za Halmashauri ya Jiji na siyo kugawa vizimba!
 
Back
Top Bottom