Usafi wa jiji la Dar utafanikiwa?

Usafi wa jiji la Dar utafanikiwa?

mkongongojo

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
245
Reaction score
156
Zoezi la kusimamia usafi jijini linachangamoto zake
1. Vyombo vya kuwekea taka sehemu zingine hakuna na kama vipo Ni vichache.

2. Hao maaskari mgambo wanafanya kazi kwa kutumia nguvu baada ya kuelimisha wadau.

3. Wanalazimisha watu walipe faini tu hata pingine kumuelimisha mtu afanye nini. Ila kinachoonekana mgambo wapate kipato.

4. Kuna wakati wanatishia wananchi na kutoa maneno makali

5. Makaazi mengi ya jiji la Dar yamejegwa ovyo bila mpangilio Hilo nalo linafanya usafi kufanyika unakuwa mgumu.

Ushauri wangu
1. Tujihakikishie kwamba taka zilikusanywa sehemu zinaondolewa.

2. Elimu itolewe il wadau wajue nini wafanye.

3. Vipo vitendea kazi vya kutosha ili taka zisikae muda mrefu.

4. Washirikishwe viongozi wa mtaa ili isipatikane nafasi kwa vibaka kupata mwanya wa kufanya maovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usafi katika nchi za kiafrika ni ngumu kufanikiwa kwasababu waafrika hatuna tabia za kuweka mazingira yetu safi,ukitaka kujua kama haiwezekani anzia kwanza majumbani mwetu,..... kwa kifupi huwezi kutenganisha mtu nweusi na uchafu... tatizo la uchafu kwa sisi ngozi nyeusi lipobkwenye ubongo,hata tukiweka Dustbins kila baada ya centimeter moja bado tmazingira yataendelea kuwa machafu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye masuala ya human behavior change..unahitaji kuapplay vitu vitatu ambavyo ni knowledge, attitude and practice..

Ikishindikana tunafanya kitu kinaitwa law enforcement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania has a WA dar majority ni wachafu sana ,hawajui ABC za usafi wa usafi wa mazingira hivyo ni ndoto jiji LA dar kuwa safi!
Pili ni kwambaa!!! Shughuli zisizo rasm ni nyingi mno mpaka sehemu zisizo stahili!!!!mtu anachoma mishikani kwenye kituo cha daladala!!! Mtu anauza mahindi choma kituo cha mabasi!?? Mtu anaosha magari pasipo stahili kisa kaweka bendera ya ccm!!!
Tatuu!?? Mipango holela ya makazi ukusanyaji taka ni mgumu mno!!!
Kila mahali ni wamachinga !?? Umewahi kujiuliza wamachinga wa kariakoo na karume wote hutumia vyoo!??,Je!?? nani atadhubutu kuwondoa Wakati mkuu WA nchi alisema wasiguswe!?? Kwa kifupi usafi dar ni ndoto
 
Wagambo wana 20 yao katika kila 50 wanayoikusanya ndiyo maana wamefocus kwenye faini kuliko kuelimisha.
 
Back
Top Bottom